Ufafanuzi wa toni katika Kiswahili

toni

nominoPlural toni

  • 1

    sauti ya kiwango fulani k.v. cha juu au chini.

Asili

Kng

Matamshi

toni

/tɔni/