Ufafanuzi wa topasi katika Kiswahili

topasi

nominoPlural matopasi

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kusafisha choo.

    chura

  • 2

    mtu afanyaye kazi ya kufagia njia na kukusanya taka mjini.

Matamshi

topasi

/tɔpasi/