Ufafanuzi wa tosha katika Kiswahili

tosha

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~eza

 • 1

  fikia kiwango kinachoridhisha au kinachohitajiwa.

  ‘Chakula hiki hakijatosha’
  ‘Mwenyezi Mungu anatosha kuwa mlinzi wangu’
  ‘Nguo hii inamtosha’
  akidi, ghushi, enea, faa

Matamshi

tosha

/tɔ∫a/