Ufafanuzi msingi wa toza katika Kiswahili

: toza1toza2

toza1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~wa

  • 1

    chukua vitu k.v. pesa, kutoka kwa mtu kuwa ni ushuru, kodi au fidia.

Matamshi

toza

/tɔza/

Ufafanuzi msingi wa toza katika Kiswahili

: toza1toza2

toza2

nominoPlural toza

Matamshi

toza

/tɔza/