Ufafanuzi wa trei katika Kiswahili

trei

nominoPlural trei

  • 1

    chombo bapa kilichoingia ndani kidogo, chenye vishikio, cha mbao, plastiki au chuma, agh. hutumiwa kubebea vyakula au vinywaji au vitu vidogovidogo.

Asili

Kng

Matamshi

trei

/trɛji/