Ufafanuzi wa tu katika Kiswahili

tu

kielezi

 • 1

  neno lionyeshalo kutokuwepo na zaidi ya jambo au kitu kilichotajwa au kuhitajiwa.

  ‘Alikuja mtu mmoja tu’
  basi

 • 2

  hutumika katika misemo kwa maana mbalimbali.

  ‘Cheza tu, utaniona, ukifanya jambo hilo nitakuadhibu’

Matamshi

tu

/tu/