Ufafanuzi wa tubia katika Kiswahili

tubia

kitenzi sielekezi~ka, ~sha

Kidini
  • 1

    Kidini
    omba msamaha kwa makosa yaliyofanywa.

Asili

Kar

Matamshi

tubia

/tubija/