Ufafanuzi wa tufani katika Kiswahili

tufani

nominoPlural tufani

  • 1

    upepo unaozunguka kwa nguvu sana, agh. hutoka baharini kuelekea nchi kavu.

    dharuba, kimbunga, dhoruba, halibari

Asili

Kar

Matamshi

tufani

/tufani/