Ufafanuzi wa tuhuma katika Kiswahili

tuhuma

nominoPlural tuhuma

  • 1

    shaka ya kudhania jambo lisilo zuri.

    ‘Mnatia tuhuma bure, Juma siye aliyetia fitina’
    wasiwasi, shaka, hatihati

Asili

Kar

Matamshi

tuhuma

/tuhuma/