Ufafanuzi wa tuili katika Kiswahili

tuili

kitenzi sielekezi

kishairi
  • 1

    kishairi chukua muda mrefu kukamilisha jambo.

    kawia, chelewa

Matamshi

tuili

/tuIli/