Ufafanuzi wa tukana katika Kiswahili

tukana

kitenzi elekezi

  • 1

    toa maneno machafu; sema matusi.

    chamba, fusa, tusi, shambulia, sibabi, subu, taya

Matamshi

tukana

/tukana/