Ufafanuzi wa tulizo katika Kiswahili

tulizo

nomino

  • 1

    jambo au kitu kinachomfanya mtu kuwa na utulivu.

Matamshi

tulizo

/tulizÉ”/