Ufafanuzi msingi wa tundu katika Kiswahili

: tundu1tundu2tundu3

tundu1

nominoPlural matundu

 • 1

  uwazi ulioko kwenye kitu k.v. sindano, ukuta au paa.

  ‘Nitilie uzi kwenye tundu la sindano’
  tobo, shimo, tobwe, kitobo

Matamshi

tundu

/tundu/

Ufafanuzi msingi wa tundu katika Kiswahili

: tundu1tundu2tundu3

tundu2

nominoPlural matundu

 • 1

  kitu kilichotengenezwa, agh. kwa matete, mabati, n.k., maalumu kwa kuwekea ndege, n.k..

  susu

 • 2

  nyumba ya ndege yenye mlango wa kuingilia.

Matamshi

tundu

/tundu/

Ufafanuzi msingi wa tundu katika Kiswahili

: tundu1tundu2tundu3

tundu3

kivumishi

 • 1

  ‘Mtoto tundu tundu’
  -tukutu

Matamshi

tundu

/tundu/