Ufafanuzi msingi wa tunga katika Kiswahili

: tunga1tunga2tunga3tunga4

tunga1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  pitisha uzi, ung’ongo, n.k. kwenye kitu chenye tundu k.v. ushanga na vinginevyo.

  dunga

Matamshi

tunga

/tunga/

Ufafanuzi msingi wa tunga katika Kiswahili

: tunga1tunga2tunga3tunga4

tunga2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  kusanyika kwa kitu kiowevu k.v. usaha au maji katika mwili.

  ‘Tunga usaha’

 • 2

  unganika mbegu ya uzazi ya kiumbe wa kiume katika sehemu ya uzazi ya kiumbe wa kike.

Matamshi

tunga

/tunga/

Ufafanuzi msingi wa tunga katika Kiswahili

: tunga1tunga2tunga3tunga4

tunga3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  toa mawazo kutoka bongoni na kuyakusanya, kisha kuyadhihirisha kwa maandishi, kwa kusimulia, kwa kuyaimba au kwa muziki.

  ‘Tunga shairi’
  ‘Tunga hotuba’
  ‘Tunga hadithi’
  sanifu

Matamshi

tunga

/tunga/

Ufafanuzi msingi wa tunga katika Kiswahili

: tunga1tunga2tunga3tunga4

tunga4

nominoPlural matung.a

Matamshi

tunga

/tunga/