Ufafanuzi wa tungo katika Kiswahili

tungo

nominoPlural tungo

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kipashio cha kimuundo kinachotokana na uwekaji pamoja wa vipashio sahili ili kujenga kipashio kikubwa zaidi.

Matamshi

tungo

/tungɔ/