Ufafanuzi wa tungule katika Kiswahili

tungule

nomino

  • 1

    nyanya ndogondogo zenye ukubwa kama kunazi, hutumiwa kuwa ni mboga.

Matamshi

tungule

/tungulÉ›/