Ufafanuzi wa tunuku katika Kiswahili

tunuku

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    -pa mtu kitu k.v. cheti, medali, n.k. kwa kuhitimu mafunzo fulani au kwa kazi nzuri.

Asili

Kar

Matamshi

tunuku

/tunuku/