Ufafanuzi wa tura katika Kiswahili

tura

nominoPlural tura

  • 1

    tunda dogo la duara lisiloliwa lenye rangi ya kijani au kijani na nyeusi na likiiva huwa manjano.

    tunguja

Matamshi

tura

/tura/