Ufafanuzi wa tutumvi katika Kiswahili

tutumvi

nominoPlural tutumvi

  • 1

    vipele vinavyotokea juu ya ngozi ya mtu anapotambaliwa na mdudu au anapoguswa na jani linalowasha.

Matamshi

tutumvi

/tutumvi/