Ufafanuzi wa tuzua katika Kiswahili

tuzua

kitenzi elekezi

  • 1

    tia aibu.

    tahayarisha, aibisha

Matamshi

tuzua

/tuzuwa/