Ufafanuzi msingi wa tweka katika Kiswahili

: tweka1tweka2

tweka1

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    pandisha kitu k.v. bendera au tanga kwenye mlingoti.

Matamshi

tweka

/twɛka/

Ufafanuzi msingi wa tweka katika Kiswahili

: tweka1tweka2

tweka2

nominoPlural tweka

Matamshi

tweka

/twɛka/