Ufafanuzi wa twinga katika Kiswahili

twinga

nominoPlural twinga

  • 1

    chombo kama puto kubwa, agh. huwa duara na hutumiwa kurushwa hewani kama tiara.

    purutangi

Matamshi

twinga

/twinga/