Ufafanuzi wa uadilifu katika Kiswahili

uadilifu

nominoPlural uadilifu

  • 1

    hali ya kutenda haki bila ya kupendelea upande wowote.

    insafu

Asili

Kar

Matamshi

uadilifu

/uwadilifu/