Ufafanuzi wa uaili katika Kiswahili

uaili

nominoPlural uaili

  • 1

    hali ya kutia makosani au kulaumu; hali ya kutoa makosa.

Asili

Kar

Matamshi

uaili

/uajili/