Ufafanuzi wa uajenti katika Kiswahili

uajenti

nominoPlural uajenti

  • 1

    kazi ya kuwa mwakilishi kwenye mambo ya biashara kwa niaba ya mtu, kampuni au shirika fulani.

    uwakala

Asili

Kng

Matamshi

uajenti

/uwaʄɛnti/