Ufafanuzi wa uashi katika Kiswahili

uashi

nominoPlural uashi

  • 1

    kazi ya ujenzi kwa mawe, matofali, n.k..

Matamshi

uashi

/uwa∫i/