Ufafanuzi wa uatilifu katika Kiswahili

uatilifu

nomino

  • 1

    uharibikaji wa kiungo cha mwili; upungufu ulioko katika kiungo cha mwili.

    kilema

Matamshi

uatilifu

/uwatilifu/