Ufafanuzi wa ubaguzi katika Kiswahili

ubaguzi

nominoPlural ubaguzi

  • 1

    hali ya kutoa vitu au huduma kwa upendeleo.

  • 2

    mfumo wa kijamii wa kutoa huduma kwa upendeleo kwa misingi ya rangi, jinsia, kabila, n.k..

Matamshi

ubaguzi

/ubaguzi/