Ufafanuzi wa ubashasha katika Kiswahili

ubashasha

nominoPlural ubashasha

  • 1

    tabia ya kuwa mchangamfu na mcheshi na watu.

Asili

Kar

Matamshi

ubashasha

/uba∫a∫a/