Ufafanuzi wa ubatilishaji katika Kiswahili

ubatilishaji

nominoPlural ubatilishaji

  • 1

    hali ya kutengua maafikiano au mkataba uliowekwa awali.

Matamshi

ubatilishaji

/ubatili∫aʄi/