Ufafanuzi wa ubatizaji katika Kiswahili

ubatizaji

nominoPlural ubatizaji

  • 1

    utaratibu mzima wa kubatiza.

Asili

Kng

Matamshi

ubatizaji

/ubatizaʄi/