Ufafanuzi wa ubora katika Kiswahili

ubora

nominoPlural ubora

  • 1

    thamani au faida ya kitu.

    ‘Ubora wa saa hii ni nini?’

  • 2

    hali ya kujiona kuwa hakuna mwingine kuliko wewe.

Asili

Kar

Matamshi

ubora

/ubɔra/