Ufafanuzi msingi wa ububu katika Kiswahili

: ububu1ububu2

ububu1 , ububwi

nominoPlural ububu, Plural bubu

  • 1

    hali ya kutoweza kusema kwa sababu ya kuwa kiziwi au kuwa na kasoro ya ulimi kinywani.

  • 2

    tabia ya kutopenda kuongea.

Matamshi

ububu

/ububu/

Ufafanuzi msingi wa ububu katika Kiswahili

: ububu1ububu2

ububu2

nominoPlural ububu, Plural bubu

  • 1

    shanga ndogo nyeusi sana.

Matamshi

ububu

/ububu/