Ufafanuzi wa ubuyu katika Kiswahili

ubuyu

nomino

  • 1

    ungaunga wa rangi ya maziwa wa matunda ya mbuyu ukiwa na mbegu zake au bila mbegu.

Matamshi

ubuyu

/ubuju/