Ufafanuzi wa uchaguzi katika Kiswahili

uchaguzi

nomino

 • 1

  namna ya kutenga kinachofaa na kisichofaa.

 • 2

  utoaji wa kitu chenye sifa fulani kati ya vingine.

  uteuzi

 • 3

  upigaji kura.