Ufafanuzi wa uchapasi katika Kiswahili

uchapasi

nominoPlural uchapasi

  • 1

    uhodari au wepesi wa kutenda kazi au jambo.

Matamshi

uchapasi

/utʃapasi/