Ufafanuzi wa uchavushaji katika Kiswahili

uchavushaji

nomino

  • 1

    utiaji wa chavua katika mmea.

Matamshi

uchavushaji

/utʃavu∫aʄi/