Ufafanuzi wa udakizi katika Kiswahili

udakizi

nomino

  • 1

    tabia ya kudakia mazungumzo ya watu wengine.

Asili

Kar

Matamshi

udakizi

/udakizi/