Ufafanuzi wa udakuzi katika Kiswahili

udakuzi

nominoPlural udakuzi

  • 1

    tabia ya kupenda kuingilia kati maneno ya watu wakati wanapozungumza.

Matamshi

udakuzi

/udakuzi/