Ufafanuzi wa udanganyifu katika Kiswahili

udanganyifu

nominoPlural udanganyifu

  • 1

    tabia na vitendo vya kughilibu watu au kufanya jambo ambalo mtu anajua ni la uongo.

    uayari, kengo, ulaghai, hila, ghururi, ghiliba, chuku, hadaa, mafamba, ghashi

Matamshi

udanganyifu

/udangaɲifu/