Ufafanuzi wa udenda katika Kiswahili

udenda

nominoPlural udenda

  • 1

    mate membamba yasiyokuwa na povu yanayoteleza na yanayomtoka mtu wakati amelala au wakati anapokula kitu k.v. chenye ugwadu au kilicho kitamu sana.

    uderere, ute

Matamshi

udenda

/udɛnda/