Ufafanuzi wa ufarisi katika Kiswahili

ufarisi

nominoPlural ufarisi

  • 1

    uhodari wa jambo au mambo fulani.

    ustadi, ufundi, ubingwa

  • 2

    uhodari wa kupanda na kuendesha farasi.

Asili

Kar

Matamshi

ufarisi

/ufarisi/