Ufafanuzi wa ufinyanzi katika Kiswahili

ufinyanzi

nomino

  • 1

    sanaa ya kutengeneza vyombo vya udongo k.v. vyungu, mitungi au sanamu.

Matamshi

ufinyanzi

/ufiɲanzi/