Ufafanuzi wa ugaidi katika Kiswahili

ugaidi

nominoPlural ugaidi

  • 1

    vitendo vya kutisha; kutumia nguvu; mauaji na mashambulizi yanayofanywa kwa ajili ya kufikia malengo fulani ya kisiasa au kidini.

Asili

Kar

Matamshi

ugaidi

/ugaidi/