Ufafanuzi wa ugali katika Kiswahili

ugali

nominoPlural ugali

  • 1

    chakula kilichopikwa agh. kwa k.v. unga wa mahindi au mtama kwa kusongwa.

    sima

Matamshi

ugali

/ugali/