Ufafanuzi msingi wa ugawaji katika Kiswahili

: ugawaji1ugawaji2

ugawaji1

nominoPlural ugawaji

  • 1

    mahali bidhaa zinapogawanywa.

Matamshi

ugawaji

/ugawaʄi/

Ufafanuzi msingi wa ugawaji katika Kiswahili

: ugawaji1ugawaji2

ugawaji2

nominoPlural ugawaji

  • 1

    namna ya kugawanya au kupanga vitu kwa mafungu.

    ugavi, gawio

Matamshi

ugawaji

/ugawaʄi/