Ufafanuzi wa ugobo katika Kiswahili

ugobo

nomino

  • 1

    hali ya kupenda ugomvi, agh. kwa watoto.

    ushari, uchokozi

Matamshi

ugobo

/ugɔbɔ/