Ufafanuzi wa ugoigoi katika Kiswahili

ugoigoi

nominoPlural ugoigoi

  • 1

    hali ya kuwa mvivu na mtepetevu.

    ajizi, uzembe

Matamshi

ugoigoi

/ugɔigɔi/