Ufafanuzi wa ugombo katika Kiswahili

ugombo

nomino

  • 1

    zeze linalotengenezwa kwa mti uliopinda kama uta na kutiwa uzi mmoja au zaidi.

Matamshi

ugombo

/ugɔmbɔ/