Ufafanuzi wa uhasama katika Kiswahili

uhasama, uhasimu

nominoPlural uhasama

  • 1

    hali ya kufarakana kutokana na ugomvi.

    uadui, utesi, husuma, fakachi

Asili

Kar

Matamshi

uhasama

/uhasama/